.

.

Latest Posts

COMING SOON BISHOOO

Leave a Comment Read More

MUHIDIN MDANKU AVUNJA NDOA YA MTU

Muhidin Mdanku Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni hapa jamaa mfanyakazi wa serikalini amevunja ndoa ya mtu na kijana huyo akiwa hana uoga kabisa na anachokifanya kiasi hata cha kumtishia mwenye mke kijana huyo akiwa mwenye sura ya upole Muhidin ni kijana mpole sana ila katika suala la kuvunja ndoa za watu amekua makini sana kwani ana matukio kadhaaa ya aina moja Thanx Okay, wishing u always a good Tutazungumza night but always remember Ilove u. Thanks, tupo pamoja Mummy!! Poa acha nivae niende coz saa yangu inaniambia bado 1hr Hizi zikiwa baadhi ya chart zake zilizopatika katika simu ya mke wa mtu
Leave a Comment Read More

MTANZANIA MWENGINE AFARIKI DUNIA HUKO INDIA

[17:16, 20/10/2014] Wimbi la watanzania wanauza miili yako huko china na india inazidi kila kukicha na majanga mwengi yanawakuta kiasi cha kuwa tatizo hapa tunakuletea mtanzania mwengine aliyefariki huko india leo hiii na hatujapata taarifa ataletwa bongo au kuzikwa huko new delhi Jina lake halikupatikana ila wabongo walimpa jina la wema sepetu kutokana na sauti yake kufanana sana na wema
Leave a Comment Read More

TI IN DAR.ES SALAAM TANZANIA

Leave a Comment Read More

Know about Kenedy Victor

Kened victor ndio jina lake lakini he so famous under Kenny ni kajana lakini wengi wanamuita handsome boy chotara huyo aliyezaliwa miaka kadhaa iliyopita na kupata elimu yake nchini Uganda na kurudi nyumbani kuendeleza sanaa yake. Alipofika tu alitumbukia kwenye modeling kutokana na mwili wake lakin mtunis akaona sio sehemu yake sahihi ni lazima akae kwenye movie na ndio hapo safari yake ilipoanzia. Mkali huyo kashafanya movie kibao lakini movie yake kali ilikuwa best wife kwani ndio ilikuwa ya kwanza na jasho jingi lilimtoka mpka leo kuitwa star. Lakin yeye anaikubali sana movie ya mrembo kikojozi na kwa sasa anakuja na movie itakayo kua history in bongo stay tune
Leave a Comment Read More

TUDY THOMAS AACHANA NA MZAZI MWENZIE

Tudy thomas achana na mzazi mwenzie Huyu ni yule mgonga beat au mkali wao aliyewahi kugonga beat kibao hapa bongo na kwa sasa ngoma yake kali mtaani ni kitorondo ya Diamond ameachana na yule miss Moshi mwaka 2012 na aliyeshiriki mis tz pia aliweza kupata mtoto wao wa kike mwanzoni mwa mwaka huu lakin kwa sasa wametengana na mzazi mwenzio huyo : Asha aliyezaa na tudy thomas
Leave a Comment Read More

JESTNA GEORGE ACHEZEA KICHAPO

Breaking news jestina georg ala kichapo cha mbwa mwizi Hii imesababishwa na zile harakati za kukomesha udhalilishaji. Kumekuwa na matumiz mabaya ya mitandao katika siku za hivi karibuni hii inatoka na ukuaji utandawazi bila ya elimu ya kutosha mwisho wa siku watu wanatumia vibaya hivi karibuni Matlida aka matikibokoyao aliweza kukamatwa na kulala ndani pale mabatini na jana baada ya jestin kumrecord cocu na kusambaza kwa kina dougiemasta mrembo huyo alitafutwa na kula kichapo cha haja nadhani kidogo hizi harakati zitapungua au kwisha kabisa kwa mwendo huu
Leave a Comment Read More

MATIKIBOKOYAO ATIWA MBARONI NA MAPOLISI

Matikibokoyao atiwa mbaroni na police na hapa tunapongea yuko mabatini akinyea debe hii ni kutikana na vitu vywa uzusji anavyodhalilisha watu mitandaoni sosi itazidi kukupa habari lakini kwa sasa matikoboko yao hali ni tete . Huyu ni yule mkali wa kudhalilisha watu kwenye instagram sasa yamemkuta
Leave a Comment Read More

NAFASI YA KAZI

Kama mtu yuko ready awe msichana mwenye umri 18 mpaka 25 tayar kufanya kazi at anytime awe na experience ya kufanya kazi kwenye gazeti lolote no 0719487858. Deadline kesho jion
Leave a Comment Read More

HAWA NDIO WASANII WALIONYAKUA TUZO ZA ACTION N CUTZ ZA BONGO MOVIE

Bongo movie award zilifanyika poa sana mitaa ya kigamboni na wasanii wengi kuchukua tuzo kama msanii bora comedian nishe au salma jabu na kiume ni majuto huku best upcoming ni welu sengo best male jb best feature ni eshe buheti
Leave a Comment Read More

MSAMI BABY ANAKUJA KIVYENGINE STAY TUNE

Leave a Comment Read More

MSANII MATONYA AACHA VUMBI BAR

Matonya awaachia manyoa wahudumu wa bar, Mkali huyo mwenye heat kibao na aliyewahi kufanya viruzi sasa maisha yamebadilika kabisa kwan amekua na record mbaya za kupewa advance na kusepa, na hata bar akinywa anaacha kulipa , hapa ilitokea maeneo ya victoria mkali huyo alipoitwa na mshikaji wake kuzima park lite ndio alipopata nafasi ya kusepa bila kulipa
Leave a Comment Read More

Steve nyerere apata ajali mbaya

Steve nyerere apata ajali mbaya sana baada ya kutoka kwenye lauch ya mbwa mwitu Steve ambae alionekana kuwa amelewa sana aliondoka maeneo ya mlimani city kwa chombo chetu cha habari kinasema inawezekana ikawa amegonga nguzo
Leave a Comment Read More

JAZZ SALOON NDIO HABARI YA MUJINI

jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine
Leave a Comment Read More

HOT PHOTOS FOR CAR CHARITY KAJALA AND ARTIST WA BONGO MOVIE KATIKA VIWANJA VYA BIAFRA LEO

Leave a Comment Read More

HATIMAYE MOVIE MPYA UNDER KAJALA ENTERTAINMENT YA MBWA MWITU KUZINDULIWA JUMATANO HII MLIMANI CITY

Final ile movie ya mbwa mwitu kuwa lounge pale mlimani city siku ya jumatano na mkuu wa police kuwa mgeni rasmi kama short story mobie hiyo inayo base katika true story tukusanyike wote watakaolikwa pale mlimani city jumatano hii kwa movie hiyo yenye uhalisia na ukweli wa maisha yetu
Leave a Comment Read More

WHISKY YA Fyfes NDO HABARI YA MUJINI

Fyfers ndio habari ya mjini ukiwa mjanja unakaa hapa na hangover na still afordable .
Leave a Comment Read More

THE MAKING OF NEW VIDEO OF BABY MADAHA

Baby madaha akijianda katika harakati wa kufanya video ya ngoma yake mpya mkali huyo aliweza kutia team mitaa ya Viva tower na kufanya body massage ili kujiweka fresh na kisha kufanya make up na kutoka chicha ready kwa video yake hiyo mpya stay tune
Leave a Comment Read More

HUDDAH MONROE KUANZISHA TV SHOW....

Huddah monroe anakuja na tv show yake ambao itakuwa inaitwa meet ur dream so far haijajulikana itarushwa wapi ila kwa sasa yuko katika harakati za kufanya demo ya kipindi hicho kitakacho wakutanisha watu wa kawaida na mastar hususani wale ambao wana ndoto kubwa. Kipindi ambacho so far kiko kwenye progres kitahusisha mastar wote east afrika na afrika kwa ujumla
Leave a Comment Read More

MOVIE YA KISODA YA IRENE UWOYA COMING SOON

Ile movie iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau wa movie nchini inayoenda kwa jina la Kisoda sasa iko njiani kuwa mtaani baada ya mkurugenzi wa movie hiyo anaeitwa Irene Uwoya kufunguka kwamba sasa movie hiyo imeisha na soon itakuwa mtaani kwani team nzima iliyokuwa south afrika imeasharudi na sasa wanamalizia tu ku-edit na kuweka mzigo sokoni Uwoya akiendelea na story kuhusu movie yake hiyo itakayojumisha drama and music imeshagharimu dola za kimarekani 25000 sawa na 40 million za kitanzania
Leave a Comment Read More

MSANII WA NIGERIA IYANYA KUTAFUTA VIPAJI VYA WASANII NCHINI KENYA SEPTEMBER 14 MWAKA HUU

Producer wa ngoma ya johnny na aliyefanyia mixing ngoma ya Selebobo wakiwa na wasani kama tecno na emanyira na mkuu wao Iyanya wantarajiwa kushuka kenya 14 mwezi huu kupiga show lakini pia kutafuta wasanii wa kufanya nao kazi tayar mtu kama nameless tayar wameshafanya nae mazungumzo na artist wengine iyanya akiwa na producer wake Ubi frankin ofem watakuepo kenya so fursa ndio hiyo si lazima mpaka mkenya
Leave a Comment Read More

MAJAY AJIWEKA KWA MWANADADA HAMISA MOBETO

Leave a Comment Read More

PHOTO OF THE WEEK KENYAN MODEL LILY THE GINIE.....

Leave a Comment Read More

PHOTO HAWA NDIO MASTAA WA KIKE WANAONGOZA KWA KUWA NA SHAPE NZURI EAST AFRICA

Most amazind shape Vera ni dem aliyekaa vizuri sana katika madem wachache ambao ukiwatazama macho yanapata burudani basi na yeye yumo kwani she get what it take. Kajala masanja huyu yuko so sex kwa kweli ukimuangalia mara moja then usirudie basi ukapime macho maana itakuwa hujaona kwa kweli ameumbika sana na ni super natural shepu ya mwanza mwanza. Masogange huwezi kumzoea hata akiwa mtu wako kwani ni shida sana kuzuoa muonekano wake especial akiwa hana stress. Wema sepetu bado queen huyu anakaa popote tu kwenye watu na bahati yupo na as well kwenye most amasing shape huwezi kumtoa ametulia na shepu inamvuto sana.
Leave a Comment Read More

VISA VYA AGNESS MASOGANGE

How good she looks under short kimini , nani mwengine kama sio nyota wako wa bongo agness masogange.., kiukweli its tooo amazing, mtandao wako wa kay enyertainment ulijaribu kufanya small interview through phone na mwanadada agness masogange na kumuuliza kuhusiana na swaga anazozitumia za mavazi sikuhizi kwamba its too much, but mara baada ya kubanwa sana nyota huyo alifunguka kuwa siye yeye aliyovaa nguo ya kijani hapo juu, but ukiangalia vzuri utaona kati ya picha hizo 2 kitanda kilichotumika is the same, sasa sielewi kwanin mwandada huyo anakataa na hot sexy photo yake.....
Leave a Comment Read More

EXCLUSIVE BOB JUNIOUR KUFANYA COLLABO NA JOSE CHAMELEONE

Bob junior ajiweka tayar kufanya collabo na jose chameleon jina la ngoma basi lakini plann zote tayar na kila kitu in set kimebaki jose kuweka vocal zake na mapema mwezi wa kumi mzigo utakuwa sokoni
Leave a Comment Read More

RADIO YA EFM IMETANGAZA DAU NONO KUMYAKUA MTANGAZAJI WA RADIO YA CLOUDS FM DJ FETTY

Dj fetty atengewa dau nzuri na efm radio asua sua kuhamia habari zilizotufikia ni kwamba efm wanataka mpaka kufikia mwisho wa mwaka wawe wamesimama vywa kutosha kwa kuwaleta majembe ya ukweli fetty aliahidiwa vitu vingi sana kama akikubali kwenda kujiunga na mastar wenzio huko efm kama maulid kitenge na wengineo ila hakutoa jibu kabili though dili hilo lilimfuata pia diva lakini demand yake ilikuwa kubwa kupita kazi atakayoifanya
Leave a Comment Read More

SINTAH WA BONGO MOVIE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Romuors has it Sinta sio jina jipya sana katika masikio ya wadau wa movie hapa inasemekana kwamba mrembo huyo aliyawahi kuwa na mahusiano na sir nature na pia kuwahi kuwa na mahusiano mengine huko Uganda na kupata mtoto mmoja na sasa mrembo huyo amejifungua mtoto mwengine but mtoa habari wetu akasibitisha kujifungua kwa mrembo huyo anayeishi maeneo ya kijitonyama.....
Leave a Comment Read More

SHOW YA DIAMOND THE PLATNUMZ UJERUMANI YAZUA UTATA KATI YA WEMA SEPETU NA MENINAH

Na hiki ndicho alichokisema staa wa bongo movie mwanadada wema sepetu...... Wema sepetu amefunguka leo ya kuwa hataki kujua anachofanya Diamond kwa sasa kwani hajui nini kimetokea huko germany na wala hana.......... anatembea na Menina nadhani hii ni ishara ya nini kama shabiki toa maoni
Leave a Comment Read More

PROFILE HISTORY YA NAMNA ALIVYOANZIA MUSIC ARTIST QUICK ROCKA

He goes by the name challes mbandwa his origin from Mbeya city grown up in dar, He is a bongo fleva artist based in singing and rapp was born in april 21st in Tz. Started his music career in the age of 20 hustling up and down. He went to Pandahill secondar school and oficial Quick Rocka started his music in 2009 with Bullet that was produced by marko chali that shoot every radio and tv in East afrika followed by the fire anthem curently he is the ceo of 255-switch record. Quick is very hard working guy who has nice heart able to work with everone right now he still shining with his hot song Sukido ft barnaba
Leave a Comment Read More

PHOTO OF THE WEEK KAJALA MASANJA

Leave a Comment Read More

PWANI RAHA SOUNDS PRESENT !!!!!

Pwani raha sounds ndio habari ya mujini, popote pale wanafika haya fanya kama kuwatafuta hivi.. Upate sound na live music kutoka kwao kama una wedding kwa maana ya haruso, birthday party pamoja na event yeyote, fanya kama unaangalia picha hapo juu na uwapigie simu tayari kwa shughuli....pamoja inawezekana na pwani raha sounds..
Leave a Comment Read More

KENYAN ARTIST NASTY BULL NDIO MSANII PEKEE WA EAST AFRICA AMBAYE AMEPATA PRESEDENTIAL ESCORT KWA KAZI YAKE YA KUSAMBAZA MUSIC...

Kenyan rapper Nasty Bull shocked revellers in Nakuru when he rolled into the streets in a ceremonial landrover often used by the president. People close to Nasty say the rapper is alleged to have coughed about ksh 40,000 to use the landrover for an hour on Saturday night. The rapper had attended the Prinsloo rugby 7s tournament held in Nakuru over the weekend where he had gone to promote his new single "Ndoto Hizi". The video premiered on TV last week. The vehicle is allegedly owned by a military base in Nakuru and had been used by prominent leaders during ceremonies in Nairobi and also Nakuru. Nasty and his entourage spilled into the city centre at night riding in the landrover flanked by about 50 boda boda riders. Vibeweekly has established that the rapper had paid each rider ksh 500 to accompany him through the streets for an hour. The People's Daily had last week reported that the rapper said to be wealthy had denied claims that he had come to dislodge a popular rapper also known for his flamboyant lifestyle. Speaking to Vibeweekly Nasty reiterated that saying he was just doing what any artist would do to build their brand. "No i am not trying to compete with any rapper What i did in Nakuru is no big deal, i was just marketing myself, the only difference is that i used an unconventional marketing strategy"he said.
Leave a Comment Read More

DINAMARIOS USIDHARAU ULICHONACHO...

DINAMARIOS... Habari za mchana wa leo wapenzi Leo napenda niwaambie kitu kimoja.Usidharau ulichonacho.Unaweza kuhisi hauna kitu fulani lakini kumbe unakitu kingine kidogo sana ambacho ukikitazama kwa makini ni kikubwa.Watu wengi tunasema hatuna kitu kitakachotusaidia kufikia kiwango cha juu cha mafanikio fulani katika maisha yetu.Mungu anakuona una vitu vingi vya kukufanya ufanikiwe.Mungu alimuuliza Musa una nini?nini hiyo uliyonayo mkononi mwako Musa akajibu nina fimbo.Sidhani kama Muda wakati anamjibu Mungu ana fimbo alitegemea fimbo hiyo kwa ukubwa ndio ilomuwezesha kuwaondoa wana wa israel utumwani.*kwa wale mnaosoma biblia mnaelewa hii story* Ninachotaka kusema ushindi na fursa za mafanikio zipo ndani yako na sio nje.Una nini ndani yako?kichwani kwako?mkononi?kazini?shuleni? Tazama vizuri,tafakari vizuri,sikiliza sauti ya ndani yako inasemaje?
Leave a Comment Read More

PHOTO ....KAJALA KUMUAJIRI WEMA SEPETU .....

Leave a Comment Read More

MREMBO JANETH FROM BONGO MOVIE INDUSTRY SHE IS BACK FROM SOUTH AFRICA

Haya ndio mambo tunayoyataka wafanye wasanii wa bongo hususan katika tasnia ya filamu, ili wapate kupeperusha vyema bendera yetu ya taifa.. Haya mjue mwanadada Janet ambaye alishawahi kufanya movie chini ya kampuni ya william mtitu (who is my child) na kupata dili ya kwenda south kufanya tangazo la merrylight sasa amerejea na moto wake kwenye bongo movie kuja kuwakimbiza wasanii wengine Haya mjipange..
Leave a Comment Read More

KAJALA GUESS WAT?....

Leave a Comment Read More

PICHA KALI YA WEEK CHAGGABABY

Leave a Comment Read More

PROFILE HISTORY YA MUSIC YA MSANII JUMA JUX

Juma jux tz r n b singer was born 1989. And he gree up in dar es salaam tz He started his music 2005 by the age of 16 with rap music. In 2008 jux joined cyril kamikaze and niga flo they formed Wakacha becomingvthe vice president of the group. Later he became solo artist and his first track at am record label where he change from rap to r n b star fortunatel thing went well on his side with his first hit Nimedata was recoded and released in the same year After that we named the new star of r n b followed by Napata raha. Mwambie yeye Nitasubir and many more So far Jux has worked. With number of artist such as kamikaze Mabeste. Stamina Vaneesa Mrap Mo rack and so many he is also fashion icon in east afrika.
Leave a Comment Read More

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments