.

.

Know about Kenedy Victor

Kened victor ndio jina lake lakini he so famous under Kenny ni kajana lakini wengi wanamuita handsome boy chotara huyo aliyezaliwa miaka kadhaa iliyopita na kupata elimu yake nchini Uganda na kurudi nyumbani kuendeleza sanaa yake. Alipofika tu alitumbukia kwenye modeling kutokana na mwili wake lakin mtunis akaona sio sehemu yake sahihi ni lazima akae kwenye movie na ndio hapo safari yake ilipoanzia. Mkali huyo kashafanya movie kibao lakini movie yake kali ilikuwa best wife kwani ndio ilikuwa ya kwanza na jasho jingi lilimtoka mpka leo kuitwa star. Lakin yeye anaikubali sana movie ya mrembo kikojozi na kwa sasa anakuja na movie itakayo kua history in bongo stay tune


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments