


Dj fetty atengewa dau nzuri na efm radio asua sua kuhamia habari zilizotufikia ni kwamba efm wanataka mpaka kufikia mwisho wa mwaka wawe wamesimama vywa kutosha kwa kuwaleta majembe ya ukweli fetty aliahidiwa vitu vingi sana kama akikubali kwenda kujiunga na mastar wenzio huko efm kama maulid kitenge na wengineo ila hakutoa jibu kabili though dili hilo lilimfuata pia diva lakini demand yake ilikuwa kubwa kupita kazi atakayoifanya