.

.

MTANZANIA MWENGINE AFARIKI DUNIA HUKO INDIA

[17:16, 20/10/2014] Wimbi la watanzania wanauza miili yako huko china na india inazidi kila kukicha na majanga mwengi yanawakuta kiasi cha kuwa tatizo hapa tunakuletea mtanzania mwengine aliyefariki huko india leo hiii na hatujapata taarifa ataletwa bongo au kuzikwa huko new delhi Jina lake halikupatikana ila wabongo walimpa jina la wema sepetu kutokana na sauti yake kufanana sana na wema


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments