.

.

JESTNA GEORGE ACHEZEA KICHAPO

Breaking news jestina georg ala kichapo cha mbwa mwizi Hii imesababishwa na zile harakati za kukomesha udhalilishaji. Kumekuwa na matumiz mabaya ya mitandao katika siku za hivi karibuni hii inatoka na ukuaji utandawazi bila ya elimu ya kutosha mwisho wa siku watu wanatumia vibaya hivi karibuni Matlida aka matikibokoyao aliweza kukamatwa na kulala ndani pale mabatini na jana baada ya jestin kumrecord cocu na kusambaza kwa kina dougiemasta mrembo huyo alitafutwa na kula kichapo cha haja nadhani kidogo hizi harakati zitapungua au kwisha kabisa kwa mwendo huu


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments