.

.

MSANII WA NIGERIA IYANYA KUTAFUTA VIPAJI VYA WASANII NCHINI KENYA SEPTEMBER 14 MWAKA HUU

Producer wa ngoma ya johnny na aliyefanyia mixing ngoma ya Selebobo wakiwa na wasani kama tecno na emanyira na mkuu wao Iyanya wantarajiwa kushuka kenya 14 mwezi huu kupiga show lakini pia kutafuta wasanii wa kufanya nao kazi tayar mtu kama nameless tayar wameshafanya nae mazungumzo na artist wengine iyanya akiwa na producer wake Ubi frankin ofem watakuepo kenya so fursa ndio hiyo si lazima mpaka mkenya


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments