.

.

Latest Posts

Showing posts with label music. Show all posts
Showing posts with label music. Show all posts

MSAMI BABY ANAKUJA KIVYENGINE STAY TUNE

Leave a Comment Read More›

THE MAKING OF NEW VIDEO OF BABY MADAHA

Baby madaha akijianda katika harakati wa kufanya video ya ngoma yake mpya mkali huyo aliweza kutia team mitaa ya Viva tower na kufanya body massage ili kujiweka fresh na kisha kufanya make up na kutoka chicha ready kwa video yake hiyo mpya stay tune
Leave a Comment Read More›

EXCLUSIVE BOB JUNIOUR KUFANYA COLLABO NA JOSE CHAMELEONE

Bob junior ajiweka tayar kufanya collabo na jose chameleon jina la ngoma basi lakini plann zote tayar na kila kitu in set kimebaki jose kuweka vocal zake na mapema mwezi wa kumi mzigo utakuwa sokoni
Leave a Comment Read More›

PROFILE HISTORY YA NAMNA ALIVYOANZIA MUSIC ARTIST QUICK ROCKA

He goes by the name challes mbandwa his origin from Mbeya city grown up in dar, He is a bongo fleva artist based in singing and rapp was born in april 21st in Tz. Started his music career in the age of 20 hustling up and down. He went to Pandahill secondar school and oficial Quick Rocka started his music in 2009 with Bullet that was produced by marko chali that shoot every radio and tv in East afrika followed by the fire anthem curently he is the ceo of 255-switch record. Quick is very hard working guy who has nice heart able to work with everone right now he still shining with his hot song Sukido ft barnaba
Leave a Comment Read More›

PROFILE HISTORY YA MUSIC YA MSANII JUMA JUX

Juma jux tz r n b singer was born 1989. And he gree up in dar es salaam tz He started his music 2005 by the age of 16 with rap music. In 2008 jux joined cyril kamikaze and niga flo they formed Wakacha becomingvthe vice president of the group. Later he became solo artist and his first track at am record label where he change from rap to r n b star fortunatel thing went well on his side with his first hit Nimedata was recoded and released in the same year After that we named the new star of r n b followed by Napata raha. Mwambie yeye Nitasubir and many more So far Jux has worked. With number of artist such as kamikaze Mabeste. Stamina Vaneesa Mrap Mo rack and so many he is also fashion icon in east afrika.
Leave a Comment Read More›

MSANII SHILAVEE KUFANYA NGOMA NA ALIKIBA

baada ya kufanya vizuri kwa ngoma yake ya hutonipata sasa anaachia video yake sooon na pia kama hujihakikishia soko la bongo ameamua kufanya ngoma na Ali kiba jina la ngoma bado lakini wakali hao tayar wameshaweka mambo sawa anytime wanadondoka studio kufanya yao. Msanii shellavee akiwa chini ya management ya fullmoon yenye makazi yake msasani wanamipango mizuri ya kumfikisha mbali sana msanii huyu wa dancehall mkali kuwahi kutokea hapa nchini
Leave a Comment Read More›

YALOJIRI KWENYE SERENGETI FIESTA 2014 JIJINI TANGA KATIKA VIWANJA VYA MKWAKWANI

Okay hivi ndivyo namna mwanadada vanessa mdee (veee) alivuotokelezea na kutoa perfomance ya ukweli pale mkwakwani jijini Tanga Msanii linah akiwa kwenye jukwaa la serengeti fiesta 2014 akifanya yake.. Barnaba boy akifanya yake kwenye jukwaaa Maelfu ya watu walijitokeza kwenye serengeti fiesta 2014 Tanga katika viwanja vya mkwakwani Wadau wa musiki jijini Tanga wakishow love Rachel akifanya yake...
Leave a Comment Read More›

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments