.

.

Latest Posts

FARID Uwezo My crazy buffa busy editing... #SIKITU coming soon

Leave a Comment Read More

Team kajala and my funs tell me, how do i look

Leave a Comment Read More

Lough ith Erick omondi



Dear BAHATI. When you get to the top by pulling your brothers down then yours will be a free fall. You can only make your Face brighter by staying in God's Presence like Moses did, you cannot make your Candle brighter by putting off your brothers Candle. We cannot build an industry where Artists thrive by showing us just how bad others are. We cannot do Ministry the same way Muhammad Ali does Jicho Pevu. By seeking what could be dirty in our brothers and exposing it to the world. We must go back to the old Christian way, that is Biblical, Call your brother talk to him in private first Mathew: 18:15. WE MUST GET BACK TO GOD!!!! And begin to avoid Sideshows. Ours is a higher calling. And to Deno my brother and good friend(Na bado uko na lunch yangu bro) sometimes the best we can do is to say thank you to our Fathers to those who gave us the platform, bless them and trust God for even greater heights for HE ALONE understands and Knows our plight(God Bless Churchill and Shine His Face Upon him) And now by the Grace placed upon me by God as your big brother in the Ministry and Industry I Admonish and Plead with you let this be the last time you write to us a long letter concerning another artist. You make good music. Keep doing that and bless the nation, that's your calling You are a great Artist and Minister of the gospel.
Leave a Comment Read More

Ujumbe wa leo kutoka kwa shost wangu Zamaradi mketem



Bora nikose Pesa mali, nyumba gari, niwe nawe.. Nifanye kazi bila salary, yote kheri, niwe nawe.. Ninavyotaka niwe nawe HAWAPENDI tuwe, nielewe Nimeamka na huo wimbo leo na nahisi ndio utarotate siku nzima kichwani.. vipi kwa wewe unaesoma hapa, umeamka na upi leo!!!???
Leave a Comment Read More

KAJALA ROAD TRIP NIKIWA NA WASANII WENZANGU

Leave a Comment Read More

Filamu Mpya Kajala PISHU Ipo sokoni


Filamu Mpya: Kajala Kutoa PISHU siku ya Mei Mosi
     
    Leave a Comment Read More

    COMING SOON BISHOOO

    Leave a Comment Read More

    MUHIDIN MDANKU AVUNJA NDOA YA MTU

    Muhidin Mdanku Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni hapa jamaa mfanyakazi wa serikalini amevunja ndoa ya mtu na kijana huyo akiwa hana uoga kabisa na anachokifanya kiasi hata cha kumtishia mwenye mke kijana huyo akiwa mwenye sura ya upole Muhidin ni kijana mpole sana ila katika suala la kuvunja ndoa za watu amekua makini sana kwani ana matukio kadhaaa ya aina moja Thanx Okay, wishing u always a good Tutazungumza night but always remember Ilove u. Thanks, tupo pamoja Mummy!! Poa acha nivae niende coz saa yangu inaniambia bado 1hr Hizi zikiwa baadhi ya chart zake zilizopatika katika simu ya mke wa mtu
    Leave a Comment Read More

    MTANZANIA MWENGINE AFARIKI DUNIA HUKO INDIA

    [17:16, 20/10/2014] Wimbi la watanzania wanauza miili yako huko china na india inazidi kila kukicha na majanga mwengi yanawakuta kiasi cha kuwa tatizo hapa tunakuletea mtanzania mwengine aliyefariki huko india leo hiii na hatujapata taarifa ataletwa bongo au kuzikwa huko new delhi Jina lake halikupatikana ila wabongo walimpa jina la wema sepetu kutokana na sauti yake kufanana sana na wema
    Leave a Comment Read More

    TI IN DAR.ES SALAAM TANZANIA

    Leave a Comment Read More

    Know about Kenedy Victor

    Kened victor ndio jina lake lakini he so famous under Kenny ni kajana lakini wengi wanamuita handsome boy chotara huyo aliyezaliwa miaka kadhaa iliyopita na kupata elimu yake nchini Uganda na kurudi nyumbani kuendeleza sanaa yake. Alipofika tu alitumbukia kwenye modeling kutokana na mwili wake lakin mtunis akaona sio sehemu yake sahihi ni lazima akae kwenye movie na ndio hapo safari yake ilipoanzia. Mkali huyo kashafanya movie kibao lakini movie yake kali ilikuwa best wife kwani ndio ilikuwa ya kwanza na jasho jingi lilimtoka mpka leo kuitwa star. Lakin yeye anaikubali sana movie ya mrembo kikojozi na kwa sasa anakuja na movie itakayo kua history in bongo stay tune
    Leave a Comment Read More

    TUDY THOMAS AACHANA NA MZAZI MWENZIE

    Tudy thomas achana na mzazi mwenzie Huyu ni yule mgonga beat au mkali wao aliyewahi kugonga beat kibao hapa bongo na kwa sasa ngoma yake kali mtaani ni kitorondo ya Diamond ameachana na yule miss Moshi mwaka 2012 na aliyeshiriki mis tz pia aliweza kupata mtoto wao wa kike mwanzoni mwa mwaka huu lakin kwa sasa wametengana na mzazi mwenzio huyo : Asha aliyezaa na tudy thomas
    Leave a Comment Read More

    JESTNA GEORGE ACHEZEA KICHAPO

    Breaking news jestina georg ala kichapo cha mbwa mwizi Hii imesababishwa na zile harakati za kukomesha udhalilishaji. Kumekuwa na matumiz mabaya ya mitandao katika siku za hivi karibuni hii inatoka na ukuaji utandawazi bila ya elimu ya kutosha mwisho wa siku watu wanatumia vibaya hivi karibuni Matlida aka matikibokoyao aliweza kukamatwa na kulala ndani pale mabatini na jana baada ya jestin kumrecord cocu na kusambaza kwa kina dougiemasta mrembo huyo alitafutwa na kula kichapo cha haja nadhani kidogo hizi harakati zitapungua au kwisha kabisa kwa mwendo huu
    Leave a Comment Read More

    MATIKIBOKOYAO ATIWA MBARONI NA MAPOLISI

    Matikibokoyao atiwa mbaroni na police na hapa tunapongea yuko mabatini akinyea debe hii ni kutikana na vitu vywa uzusji anavyodhalilisha watu mitandaoni sosi itazidi kukupa habari lakini kwa sasa matikoboko yao hali ni tete . Huyu ni yule mkali wa kudhalilisha watu kwenye instagram sasa yamemkuta
    Leave a Comment Read More

    NAFASI YA KAZI

    Kama mtu yuko ready awe msichana mwenye umri 18 mpaka 25 tayar kufanya kazi at anytime awe na experience ya kufanya kazi kwenye gazeti lolote no 0719487858. Deadline kesho jion
    Leave a Comment Read More

    ADVERTISEMENT

    ADVERTISEMENT
    jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

    Blog rafiki

    Popular Posts

    Recent Comments