.

.

MOVIE YA KISODA YA IRENE UWOYA COMING SOON

Ile movie iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau wa movie nchini inayoenda kwa jina la Kisoda sasa iko njiani kuwa mtaani baada ya mkurugenzi wa movie hiyo anaeitwa Irene Uwoya kufunguka kwamba sasa movie hiyo imeisha na soon itakuwa mtaani kwani team nzima iliyokuwa south afrika imeasharudi na sasa wanamalizia tu ku-edit na kuweka mzigo sokoni Uwoya akiendelea na story kuhusu movie yake hiyo itakayojumisha drama and music imeshagharimu dola za kimarekani 25000 sawa na 40 million za kitanzania


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments