.

.

TUDY THOMAS AACHANA NA MZAZI MWENZIE

Tudy thomas achana na mzazi mwenzie Huyu ni yule mgonga beat au mkali wao aliyewahi kugonga beat kibao hapa bongo na kwa sasa ngoma yake kali mtaani ni kitorondo ya Diamond ameachana na yule miss Moshi mwaka 2012 na aliyeshiriki mis tz pia aliweza kupata mtoto wao wa kike mwanzoni mwa mwaka huu lakin kwa sasa wametengana na mzazi mwenzio huyo : Asha aliyezaa na tudy thomas


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments