.

.

MSANII MATONYA AACHA VUMBI BAR

Matonya awaachia manyoa wahudumu wa bar, Mkali huyo mwenye heat kibao na aliyewahi kufanya viruzi sasa maisha yamebadilika kabisa kwan amekua na record mbaya za kupewa advance na kusepa, na hata bar akinywa anaacha kulipa , hapa ilitokea maeneo ya victoria mkali huyo alipoitwa na mshikaji wake kuzima park lite ndio alipopata nafasi ya kusepa bila kulipa


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments