.

.

HUDDAH MONROE KUANZISHA TV SHOW....

Huddah monroe anakuja na tv show yake ambao itakuwa inaitwa meet ur dream so far haijajulikana itarushwa wapi ila kwa sasa yuko katika harakati za kufanya demo ya kipindi hicho kitakacho wakutanisha watu wa kawaida na mastar hususani wale ambao wana ndoto kubwa. Kipindi ambacho so far kiko kwenye progres kitahusisha mastar wote east afrika na afrika kwa ujumla


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments