.

.

DINAMARIOS USIDHARAU ULICHONACHO...

DINAMARIOS... Habari za mchana wa leo wapenzi Leo napenda niwaambie kitu kimoja.Usidharau ulichonacho.Unaweza kuhisi hauna kitu fulani lakini kumbe unakitu kingine kidogo sana ambacho ukikitazama kwa makini ni kikubwa.Watu wengi tunasema hatuna kitu kitakachotusaidia kufikia kiwango cha juu cha mafanikio fulani katika maisha yetu.Mungu anakuona una vitu vingi vya kukufanya ufanikiwe.Mungu alimuuliza Musa una nini?nini hiyo uliyonayo mkononi mwako Musa akajibu nina fimbo.Sidhani kama Muda wakati anamjibu Mungu ana fimbo alitegemea fimbo hiyo kwa ukubwa ndio ilomuwezesha kuwaondoa wana wa israel utumwani.*kwa wale mnaosoma biblia mnaelewa hii story* Ninachotaka kusema ushindi na fursa za mafanikio zipo ndani yako na sio nje.Una nini ndani yako?kichwani kwako?mkononi?kazini?shuleni? Tazama vizuri,tafakari vizuri,sikiliza sauti ya ndani yako inasemaje?


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments