.

.

Latest Posts

Showing posts with label bongomovie. Show all posts
Showing posts with label bongomovie. Show all posts

Ujumbe wa leo kutoka kwa shost wangu Zamaradi mketem



Bora nikose Pesa mali, nyumba gari, niwe nawe.. Nifanye kazi bila salary, yote kheri, niwe nawe.. Ninavyotaka niwe nawe HAWAPENDI tuwe, nielewe Nimeamka na huo wimbo leo na nahisi ndio utarotate siku nzima kichwani.. vipi kwa wewe unaesoma hapa, umeamka na upi leo!!!???
Leave a Comment Read More

HAWA NDIO WASANII WALIONYAKUA TUZO ZA ACTION N CUTZ ZA BONGO MOVIE

Bongo movie award zilifanyika poa sana mitaa ya kigamboni na wasanii wengi kuchukua tuzo kama msanii bora comedian nishe au salma jabu na kiume ni majuto huku best upcoming ni welu sengo best male jb best feature ni eshe buheti
Leave a Comment Read More

Steve nyerere apata ajali mbaya

Steve nyerere apata ajali mbaya sana baada ya kutoka kwenye lauch ya mbwa mwitu Steve ambae alionekana kuwa amelewa sana aliondoka maeneo ya mlimani city kwa chombo chetu cha habari kinasema inawezekana ikawa amegonga nguzo
Leave a Comment Read More

MREMBO JANETH FROM BONGO MOVIE INDUSTRY SHE IS BACK FROM SOUTH AFRICA

Haya ndio mambo tunayoyataka wafanye wasanii wa bongo hususan katika tasnia ya filamu, ili wapate kupeperusha vyema bendera yetu ya taifa.. Haya mjue mwanadada Janet ambaye alishawahi kufanya movie chini ya kampuni ya william mtitu (who is my child) na kupata dili ya kwenda south kufanya tangazo la merrylight sasa amerejea na moto wake kwenye bongo movie kuja kuwakimbiza wasanii wengine Haya mjipange..
Leave a Comment Read More

MOVIE MPYA YA MBWA MWITU AMBAYO IPO UNDER KAJALA ENTERTAINMENT COMPANY IS COMING SOON

Hii ni movie inayohisisha kisa cha kweli kabisa kuhusu group ya watu walijiunga na kujiita mbwa mwitu na kuanza kupora mali za watu kitu ambacho hakiruhusiwi kabisa katika jamii Hapa kajala kule quick pembeni hemedi unaweza kuhisi ni kitu gani kitapatika soon short story hii itasambaa nchi nzima stay tune
Leave a Comment Read More

FINALLY ACTOR AUDITION UNDER KAJALA ENTERTAINMENT YAKAMILISHA AUDITION PALE LEADERS CLUB..

Okay hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye kampuni ya kajala entertainment imefanikisha na kukamilisha audition yake ya kutafuta ma actress underground, tayari kwa maandalizi ya new movie, stay tune soon kajala will suprise you alot with her new company ..
Leave a Comment Read More

QUICK RACKA AANZA KUJIHUSISHA RASMI NA KUFANYA MOVIE

Guys good news is, msani wa bongo fleva wa nchini Tanzania quick rocka ameamua kupanua sanaa yake kwa kuanza kujihusisha na maswala mazima ya movie, Hot news is msanii huyo kwa sasa yupo under company ya kajala entertainment ambayo tayari imeshaanza kufanya vzuri na kumake movie, ambapo the company is under the project of making new movie called Mbwa Mwitu, stay tune..........mengi yatafata baada ya hapo..
Leave a Comment Read More

ANGALIA PICHA ZA TUKIO LEO NDANI YA LEADERS CLUB ACTOR AUDTION AMBAYO IMEANDALIWA NA KAMPUNI YA KAJALA ENTERTAINTEMENT

Waoh this is soo good, for know msanii wa kike anayeenda kwa jina la kajala, ameamua kufungua kampuni (kajala entertainment), ambayo inajihusisha na mambo ya movie na entertainment kiujumla..
Leave a Comment Read More

Kajala's Nice Look


Leave a Comment Read More

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments