.

.

MENINAH MY DREAM IS TO OPEN MY VIDEO SHOW NA KUHOST BLOG ZA MASTAA NA FAN PAGE ZAO

A small interview have been done today kutoka kwa mwandishi wa blog ya kay entertainment na msanii wa music wa kizazi kipya menina, na haya ndio aliyoyaeleza msanii menina kuhusiana na mustakbal wa maisha yake pamoja na plan zake kiujumla... menina: for know nimejipanga Kufungua kampuni yangu mwenyewe ambayo itakuwa inajihusisha na kusimamia events na social medias pamoja na pages za wasanii maarufu wa bongo pamoja na Kuwa na tv show, kupitia runinga ya azam tv, Okay thank you so much mwanadada meninah kwa tym yako na kuweza kufanya interview na sisi karibu sana.. wadau what do you say about menina..


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments