.

.

YALOJIRI KWENYE SERENGETI FIESTA 2014 JIJINI TANGA KATIKA VIWANJA VYA MKWAKWANI

Okay hivi ndivyo namna mwanadada vanessa mdee (veee) alivuotokelezea na kutoa perfomance ya ukweli pale mkwakwani jijini Tanga Msanii linah akiwa kwenye jukwaa la serengeti fiesta 2014 akifanya yake.. Barnaba boy akifanya yake kwenye jukwaaa Maelfu ya watu walijitokeza kwenye serengeti fiesta 2014 Tanga katika viwanja vya mkwakwani Wadau wa musiki jijini Tanga wakishow love Rachel akifanya yake...


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments