.

.

MSANII SHILAVEE KUFANYA NGOMA NA ALIKIBA

baada ya kufanya vizuri kwa ngoma yake ya hutonipata sasa anaachia video yake sooon na pia kama hujihakikishia soko la bongo ameamua kufanya ngoma na Ali kiba jina la ngoma bado lakini wakali hao tayar wameshaweka mambo sawa anytime wanadondoka studio kufanya yao. Msanii shellavee akiwa chini ya management ya fullmoon yenye makazi yake msasani wanamipango mizuri ya kumfikisha mbali sana msanii huyu wa dancehall mkali kuwahi kutokea hapa nchini


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments