.

.

BAD NEWS TANGAZO ALBERT MANIFESTO AIBIWA CAMERA YAKE AINA YA NIKON

Tangazo Camera imeibiwa maeneo ya tank bovu tafadhani ikipita machoni kwako toa taarifa kwenye number hizi na zawadi zitatolewa : Mmiliki wa camera hiyo anaitwa manifester hana cha kukulipa ila sanaa kwa ujumla itakulipa kwani kupitia camera hiyo watu wengi wameweza kujikwamua katika maisha yao okoa sanaa leta camera utaleta ajira na sanaa itaendelea kuwa mzalendo msaidie mtanzania mwenzako thank to u thanks to everone 0719894847


Leave a Comment

0 comments:

Post a Comment

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT
jazz saloon at viva tower for both men and women include massage done by philipine

Blog rafiki

Popular Posts

Recent Comments