Okay hivi ndivyo namna mwanadada vanessa mdee (veee) alivuotokelezea na kutoa perfomance ya ukweli pale mkwakwani jijini Tanga
Msanii linah akiwa kwenye jukwaa la serengeti fiesta 2014 akifanya yake..
Barnaba boy akifanya yake kwenye jukwaaa
Maelfu ya watu walijitokeza kwenye serengeti fiesta 2014 Tanga katika viwanja vya mkwakwani
Wadau wa musiki jijini Tanga wakishow love
Rachel akifanya yake...