

Bora nikose Pesa mali, nyumba gari, niwe nawe.. Nifanye kazi bila salary, yote kheri, niwe nawe.. Ninavyotaka niwe nawe HAWAPENDI tuwe, nielewe Nimeamka na huo wimbo leo na nahisi ndio utarotate siku nzima kichwani.. vipi kwa wewe unaesoma hapa, umeamka na upi leo!!!???
0 comments:
Post a Comment