Baby madaha akijianda katika harakati wa kufanya video ya ngoma yake mpya mkali huyo aliweza kutia team mitaa ya Viva tower na kufanya body massage ili kujiweka fresh na kisha kufanya make up na kutoka chicha ready kwa video yake hiyo mpya stay tune
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki –
Ommy Dimpoz
-
Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea
bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki.
Ommy Dimpoz amesema watanz...
8 years ago
0 comments:
Post a Comment