Kama mtu yuko ready awe msichana mwenye umri 18 mpaka 25 tayar kufanya kazi at anytime awe na experience ya kufanya kazi kwenye gazeti lolote no 0719487858. Deadline kesho ji...
Bongo movie award zilifanyika poa sana mitaa ya kigamboni na wasanii wengi kuchukua tuzo kama msanii bora comedian nishe au salma jabu na kiume ni majuto huku best upcoming ni welu sengo best male...
Matonya awaachia manyoa wahudumu wa bar,
Mkali huyo mwenye heat kibao na aliyewahi kufanya viruzi sasa maisha yamebadilika kabisa kwan amekua na record mbaya za kupewa advance na kusepa, na hata...
Steve nyerere apata ajali mbaya sana baada ya kutoka kwenye lauch ya mbwa mwitu
Steve ambae alionekana kuwa amelewa sana aliondoka maeneo ya mlimani city kwa chombo chetu cha habari kinasema inawezekana...
Final ile movie ya mbwa mwitu kuwa lounge pale mlimani city siku ya jumatano na mkuu wa police kuwa mgeni rasmi kama short story mobie hiyo inayo base katika true story tukusanyike wote watakaolikwa...
Baby madaha akijianda katika harakati wa kufanya video ya ngoma yake mpya mkali huyo aliweza kutia team mitaa ya Viva tower na kufanya body massage ili kujiweka fresh na kisha kufanya make up na...
Huddah monroe anakuja na tv show yake ambao itakuwa inaitwa meet ur dream so far haijajulikana itarushwa wapi ila kwa sasa yuko katika harakati za kufanya demo ya kipindi hicho kitakacho wakutanisha...
Ile movie iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau wa movie nchini inayoenda kwa jina la Kisoda sasa iko njiani kuwa mtaani baada ya mkurugenzi wa movie hiyo anaeitwa Irene Uwoya kufunguka kwamba...
Producer wa ngoma ya johnny na aliyefanyia mixing ngoma ya Selebobo wakiwa na wasani kama tecno na emanyira na mkuu wao Iyanya wantarajiwa kushuka kenya 14 mwezi huu kupiga show lakini pia kutafuta...
Most amazind shape
Vera ni dem aliyekaa vizuri sana katika madem wachache ambao ukiwatazama macho yanapata burudani basi na yeye yumo kwani she get what it take.
Kajala masanja huyu yuko so sex...
How good she looks under short kimini , nani mwengine kama sio nyota wako wa bongo agness masogange.., kiukweli its tooo amazing, mtandao wako wa kay enyertainment ulijaribu kufanya small interview...
Bob junior ajiweka tayar kufanya collabo na jose chameleon jina la ngoma basi lakini plann zote tayar na kila kitu in set kimebaki jose kuweka vocal zake na mapema mwezi wa kumi mzigo utakuwa ...
Dj fetty atengewa dau nzuri na efm radio asua sua kuhamia habari zilizotufikia ni kwamba efm wanataka mpaka kufikia mwisho wa mwaka wawe wamesimama vywa kutosha kwa kuwaleta majembe ya ukweli fetty...
Romuors has it
Sinta sio jina jipya sana katika masikio ya wadau wa movie hapa inasemekana kwamba mrembo huyo aliyawahi kuwa na mahusiano na sir nature na pia kuwahi kuwa na mahusiano mengine...
Na hiki ndicho alichokisema staa wa bongo movie mwanadada wema sepetu...... Wema sepetu amefunguka leo ya kuwa hataki kujua anachofanya Diamond kwa sasa kwani hajui nini kimetokea huko germany na...
He goes by the name challes mbandwa his origin from Mbeya city grown up in dar,
He is a bongo fleva artist based in singing and rapp was born in april 21st in Tz. Started his music career in the...
Pwani raha sounds ndio habari ya mujini, popote pale wanafika haya fanya kama kuwatafuta hivi.. Upate sound na live music kutoka kwao kama una wedding kwa maana ya haruso, birthday party pamoja...
Kenyan rapper Nasty Bull shocked revellers in Nakuru when he rolled into the streets in a ceremonial landrover often used by the president. People close to Nasty say the rapper is alleged to...
DINAMARIOS... Habari za mchana wa leo wapenzi
Leo napenda niwaambie kitu kimoja.Usidharau ulichonacho.Unaweza kuhisi hauna kitu fulani lakini kumbe unakitu kingine kidogo sana ambacho ukikitazama...
Haya ndio mambo tunayoyataka wafanye wasanii wa bongo hususan katika tasnia ya filamu, ili wapate kupeperusha vyema bendera yetu ya taifa.. Haya mjue mwanadada Janet ambaye alishawahi kufanya movie...