Muhidin Mdanku
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni hapa jamaa mfanyakazi wa serikalini amevunja ndoa ya mtu na kijana huyo akiwa hana uoga kabisa na anachokifanya kiasi hata cha kumtishia mwenye mke kijana huyo akiwa mwenye sura ya upole
Muhidin ni kijana mpole sana ila katika suala la kuvunja ndoa za watu amekua makini sana kwani ana matukio kadhaaa ya aina moja
Thanx Okay, wishing u always a good Tutazungumza night but always remember Ilove u.
Thanks, tupo pamoja Mummy!!
Poa acha nivae niende coz saa yangu inaniambia bado 1hr
Hizi zikiwa baadhi ya chart zake zilizopatika katika simu ya mke wa mtu
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki –
Ommy Dimpoz
-
Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea
bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki.
Ommy Dimpoz amesema watanz...
8 years ago